KUFUATIA MAAGIZO YA TCU NA NACTE, CHUO KINAWATANGAZIA WATU WOTE WANAOOMBA UDAHILI WA PROGRAMU ZA CHUO CHA UFUNDI ARUSHA KUWA GHARAMA ZA UDAHILI KWA SASA NI SHILINGI 10,000 TU

 

KWA SASA MAOMBI YA UDAHILI YANAENDELEA KUPOKELEWA KWENYE PROGRAMME ZIFUATAZO:

 

·         Degree in Electrical and Automation Engineering

·         Degree in Electrical & Biomedical Engineering

·         Degree in Civil & Irrigation Engineering

·         Degree in Information Technology

·         Degree in Computer Science

 

PIA MAOMBI YANAPOKELWA KATIKA PROGRAM ZA:

 

·         Diploma in Laboratory Science & Technology

·         Diploma in Electrical Engineering

·         Diploma in Electrical & Biomedical Engineering

·         Diploma in Electronics & Telecommunication Engineering

·         Diploma in Civil Engineering

·         Diploma in Civil & highway Engineering

·         Diploma in Civil & Irrigation Engineering

·         Diploma in Automotive Engineering

·         Diploma in Auto Electrical and Electronic Engineering

·         Diploma in Computer Science

·         Diploma in Information Technology

·         Diploma in Mechanical Engineering

·         Diploma In Pipe works Oil and Gas Engineering  Imejaa hakuna Nafasi

·         Diploma in Hydropower Engineering

·         Certificate in Information Technology

·         Certificate in Lapidary & Jewellery

Maombi    Yafanywe    Kupitia     Tovuti    ya    Chuo     www.atc.ac.tz     Kupitia      LINK: https://www.oas.atc.ac.tz

Mwisho wa kutuma maombi ni tarehe 6 Augosti, 2017 kwa ngazi ya Diploma na Certificate na tarehe 13 Agosti, 2017 kwa ngazi ya Degree.

 

Kwa maelezo zaidi unaweza Kupiga simu kwa admission officer:

Simu: +255 762026000

 

Imetolewa na:
Ofisi ya Taaluma
Chuo cha Ufundi Arusha
31 July 2017