KUITWA KWENYE USAILI

Chuo cha Ufundi Arusha (ATC) kilianzishwa mwaka 1978 kwa lengo la kutoa mafunzo ya ufundi stadi, sanifu, na uhandisi katika fani mbalimbali za elimu ya Ufundi. Mwaka 2007 Chuo kilianza kujitegemea kiutendaji (Autonomous Institution) kupitia Tamko (Establishment Order) Namba 78 chini ya sheria ya Bunge namba 9 ya mwaka 1997 ya Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE). Majukumu makuu ya Chuo ni kutoa mafunzo, kufanya utafiti matumizi na kutoa ushauri wa kitaalamu katika nyanja za sayansi na teknolojia.

 

Chuo Cha Ufundi Arusha kinatarajia kuendesha usaili na hatimaye kuwaajiri waombaji watakaofaulu usaili. Aidha wasailiwa wanashauriwa kuzingatia yafuatayo:

Bofya Hapa kusoma zaidi