CHUO CHA UFUNDI ARUSHA KINATANGAZA KUWA:

KUFUATIA KUKAMILIKA KUUNDWA KWA BODI YA CHUO CHA UFUNDI ARUSHA, ZOEZI LA KUTOA VYETI KWA WANAFUNZI WALIOHITIMU MASOMO YAO MWAKA WA MASOMO 2016/17 LIMEANZA RASMI KUANZIA TAREHE 21 MEI 2018.KWA MAELEZO ZAIDI BOFYA HAPA