ARUSHA TECHNICAL COLLEGE

 

KIKULETWA RENEWABLE ENERGY RESEARCH AND TRAINING CENTRE

TANGAZO LA KUJIUNGA NA MASOMO YA UFUNDI (VETA) KWA MWAKA WA MASOMO 2019/20.

KAMPASI YA KIKULETWA 

 

Kituo cha mafunzo na utafiti juu ya Nishati Jadidifu (Renewable Energy) cha Kikuletwa ni sehemu ya Chuo Cha Ufundi Arusha (ATC), ambacho kilianzishwa kwa lengo kutoa mafunzo na utafiti katika Nyanja za Nishati Jadidifu ikiwemo uzalishaji wa Umeme kwa nguvu za maji, upepo, jua na nishati itokanayo na viumbe hai (Biomass).

 Kituo cha Kikuletwa sasa kinakaribisha maombi ya kujiunga na chuo kwa mwaka wa Masomo 2019/20  kwa watanzania na fani za ufundi kwa madaraja NVA I-III. Mafunzo yatafanyika katika kituo cha Kikuletwa kilichopo Wilaya ya Hai.

 

Kwa maelezo zaidi pakua;

1) Tangazo la kujiunga na Masomo ya ufundi kwa Mwaka wa Masomo 2019/20 pakua hapa

2) Fomu za kujiunga na Masomo pakua hapa