Chuo Cha Ufundi Arusha yaani Arusha Technical College (ATC) Kinaendeleza Kituo Cha Mafunzo ya Nishati Jadidifu na Kufua Umeme Cha Kikuletwa. Kituo hiki kimeanzishwa ili kutoa mafunzo pamoja na kufanya tafiti za nishati jadidifu (Hydropower, Solar, Wind and Biomass); Kujenga kituo cha kupima ufanisi wa mitambo midogomidogo ya kufua umeme kutokana vyanzo vidogo vidogo vya maji; na kujenga kituo kipya (hydropower plant training factory) kwaajili ya kufundishia na kuzalisha umeme. 

 

kwa maelezo zaidi bofya hapa kusoma taarifa