Chuo kinatoa mafunzo kwa wale wanaotaka kufanya mitihani ya National Vocational Awards I (NVA I) katika fani za Biashara (Business Administration) Magari, Umeme wa Magari, Umeme, Electroniki, na Ujenzi. Mafunzo haya yanatolewa kwa makundi yafuatayo: a) Vijana waliomaliza Kidato cha nne (Form Four) na kupata cheti cha kidato cha nne cha Baraza la Mitihani la Taifa (NECTA) b) Wafanyakazi viwandani wenye ari ya kujiendeleza.

 

kwa maelezo zaidi bofya hapa KUONA ORODHA YA KOZI (FANI) ZINAZOTOLEWA