Chuo cha Ufundi Arusha kinapenda kuwafahamisha wafuatao kuwa wamechaguliwa kujiunga katika kozi ya Pre Technology kwa mwaka wa masomo 2019/2020 kama majina yao yalivyooneshwa kwenye Jedwali. Vile vile mnafahamishwa kuwa masomo yataanza rasmi Jumatatu tarehe 24 Februari, 2020.

Kwa maelezo zaidi bofya hapa