Chuo Cha Ufundi Arusha yaani Arusha Technical College (ATC) Kinaendeleza Kituo Cha Mafunzo ya Nishati Jadidifu na Kufua Umeme Cha Kikuletwa. Kituo hiki kimeanzishwa ili kutoa mafunzo pamoja na kufanya tafiti za nishati jadidifu (Hydropower, Solar, Wind and Biomass); Kujenga kituo cha kupima ufanisi wa mitambo midogomidogo ya kufua umeme kutokana vyanzo vidogo vidogo vya maji; na kujenga kituo kipya (hydropower plant training factory) kwaajili ya kufundishia na kuzalisha umeme. 

 

kwa maelezo zaidi bofya hapa kusoma taarifa

click here  to find ATC Joining Instructions for Government sponsored students of academic year 2019/2020

 

Wafuatao wamechaguliwa kujiunga na Chuo cha Ufundi Arusha katika kozi ya Pre Technology kwa mwaka wa masomo 2018/2019 kama inavyoonekana kwenye Jedwali. Vile vile mnafahamishwa kuwa masomo yataanza rasmi Jumatatu ya tarehe 10 Juni, 2019.

 

 Karibuni sana Chuo cha Ufundi Arusha.

 

 

Bofya hapa kusoma zaidi na kuona majina ya waliochaguliwa  kujiunga na Pre- Technology 'Course' kwa Mwaka wa Masoma 2018/2019